Sunday, April 18, 2021

Jinsi ya kusoma message (ujumbe) wa mtu whatsApp bila yeye kujua (bila blue tick)

Bilashaka kwa watu wengi hujua na huamini kusoma ujumbe bila kuonekana blue tick inawezekana kwenye WhatsApp za kisasa mfano GB WhatsApp,FM whatsApp,YoWhatsApp ,n.k lakini icho kitu hata kwa WhatsApp za kawaida kinawezekana ni swala la setting tu.


zifuatazo ni hatua ambazo zakupasa upitie ili uweze kuset ujumbe mtu akikutumia uweze kusoma bila ya hata yeye kujua kwani kwake alama ya tiki ya bluu haitaonekana.

Hatua ya kwanza fungua app yako ya whatsApp kisha ukabonyeze vidoti vitatu vilivyo upande wa juu kabisa kulia kwa app yako ya WhatsApp

Hatua ya pili chagua sehemu iliyoandikwa Setting

Hatua ya tatu chagua sehemu iliyoandikwa Account

Hatua ya nne chagua sehemu iliyoandikwa Privacy

Hatua ya tano hapo utaona sehemu imeandikwa Read receipts kwa chini yake wameandika "If turned off ,you wont send or recive Read receipts.Read receipts are always sent for group chats"

Hivyo basi ukizima iyo sehemu hutoweza kuona blue tick pale mtu akisoma ujumbe wako utakao mtumia na hata yeye hatoweza kuona tiki ya bluu pale utakapokuwa umesoma ujumbe atakaokuwa ametuma kwako

Hatua ya sita zima Read receipts ili ukisoma ujumbe wa mtu kwake isionekane blue tick

Asante kwa kusoma ,katika post inayokuja ntakuja na njia nyingine kuonesha jinsi ya kusoma ujumbe wa mtu WhatsApp bila yeye kujua kwa kuona blue tick hivyo endelea kufatilia .

No comments:

Post a Comment