Saturday, April 17, 2021

JINSI YA KUONDOA CALL FORWARDING KATIKA SIMU YAKO

JINSI YA KUONDOA CALL FORWARDING KATIKA SIMU YAKO Kama uli fanya setting za kuforwad simu kwenye simu yako na ukashindwa kutoa au wahisi kuna mtu ameforward simu zako kwenda kwenye namba yake basi code zifuatazo zitakusaidia kuondoa call forwarding zote kwenye simu yako.

##002# hizi code hutumika kuondoa call forwarding zote kwenye simu yako.

Kama wataka kujua maana na jinsi ya kuforward calls ,angalia post zangu zilizopita na huko utapata kujua yote kuhusu call forwarding.

23 comments:

  1. Naomba no yako nikucheki watsup

    ReplyDelete
  2. Ubarikiwe sana umeniokoa

    ReplyDelete
  3. Mm nimejaribu imeshindikana

    ReplyDelete
  4. Kwangu inaandika call forwarding voice not forwarding Hii Inakuwaje? Maana hata nikijiondo Kwa ##002# nikiangalia Tena inaandika hivyo hivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama inakusumbua
      nicheki whatsapp kwa namba 0655551379

      Delete
    2. Mimi SMS zina kataha kuingia

      Delete
  5. Asante 🙏 sana

    ReplyDelete
  6. Mbn nikipiga kuna kialama kinakuja juu kama cha simu ila maneno yale hayapo wakat napiga

    ReplyDelete
  7. Ivi kudivert na kuforward call ni vitu viwili tofauti

    ReplyDelete
  8. Shukrani sana brok

    ReplyDelete
  9. Mbn mm inaandikaa voice call forwarding all calls

    ReplyDelete
  10. Samahani, ningependa kujua hii code ni kwa laini za mitandao yote au la?

    ReplyDelete